ADSENSE FLOAT CENTER
Showing posts with label tetesibongo. Show all posts
Showing posts with label tetesibongo. Show all posts

Tuesday, 4 August 2015

EXCLUSIVE: KAULI YA SNURA BAADA YA SHILOLE KUFUNGIWA MUZIKI IKO HAPA


Kama unakumbuka vizuri nyuma kidogo kuliwahi kuibuka na mchuano mkali kati ya Mwanadada Shilole pamoja na Snura Mushi, kwenye game la muziki hapa Tz, ikiwa kipindi hicho ‘Majanga‘ ya Snura ilikuwa imebamba na ‘Nakomaa na Jiji‘ ya Shilole  ilikuwa imebamba pia.

Uvumi ukasambaa sana kuwa Shilole na Snura wanabifu, ikaenda ikaendaaa mwishowe zikasambaa nyepesi nyepesi zingine kuwa Snura kamuinulia Shilolemikono, mara baada ya kuonekana amekaa kimya bila kutoa vitu.

Baada ya Snura kujifungua mtoto alirudi na wimbo wa ‘Hawashi’ na kujitetea kuwa ukimya wake ulisababishwa na ujauzito, sasa hivi anategemea kutoa Video mpya ya wimbo unaoitwa ‘Najidabua’

Lakini hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya aliyedaiwa kuwa mpinzani wake maarufu kwa jina la Shilole a.k.aShishibaby or Mrs Nuh kufungiwa muziki na BASATA kwa muda wa mwaka mzima hapa anafunguka zaidi.

” Kwa kweli naamini kuwa Shilole ni mtu mzima kwa kilicho mtokea atakuwa amejifunza nini kinatakiwa na nini hakitakiwi kwenye muziki, nachokiamini mimi, Shilole hawezi kurudia tena makosa coz hilo ni pigo kali sana, ninacho waomba BASATAwangempunguzia adhabu ikabaki hata miezi mitatu au ikiwezekana wamsamehe kabisa” Amesema Snura

 

Mke Wa Bobby Brown Akimbizwa Hospitali Baada Kumuaga Bobbi Kristina


 

Mwanamuziki Bobby Brown amezidi kuumia baada ya kuzikwa jana mtoto wake Bobbi Kristina mwenye umri wa miaka 22 na mke wake anayeitwa Alicia Etheredge akikambizwa hospitali baada ya kuzimia.
Ripoti ya TMZ inaeleza, muda mchache baada ya kutoa heshima za mwisho na kuaga kwa Bobbi Kristina, mke wa Bobby Brown amabe juzi kati alijifungua mtoto anayeitwa Bodhi, aliingizwa kwenye gari la wagonjwa (Ambulance) na kukimbizwa hospitali.

 
Lakini, muda sio mrefu Alicia aliweza kurudi kwenye hali yake ya kawaida, Bobby anategemewa kufika kwenye maziko ya Bobbi ambayo yatafanyika New Jersey leo. Bobbi Kristina amefanyiwa misa katika kanisa la St. James United Methodist Church, kanisa alilokuwa akienda kusali na marehemu mama yake Whitney Houston inasemekana kwamba picha ya Whitney Houston ilikuwepo pale.

 
Waombolezaji walitoa mafuriko ya machozi wakati kwaya ikiimba wimbo wa “Stand” ulioimbwa na Donnie McClerkin, wimbo ambao uliimbwa pia wakati wa maziko ya mama yake miaka mitatu iliyopita.
Kwenye mazishi hayo ambayo yalikuwa yakiendelea vizuri, shangazi wa marehemu Bobbi Kristina, Leolah Brown aliombwa aondoke kanisa kufuatia ugomvi uliozuka wakati Pat Houston alipokuwa akitoa heshima za mwisho kwa Bobbi Kristina.

 
Akiongea na maripota nje ya kanisa, Leolah alilalamika kwamba “whitney Houston atakuwa akimfuata Pat Houston kutoka kaburini” kabla hajaenda kutoa heshima kwa marehemu kwa Bobbi Kristina ambaye alikuwa ndani ya jeneza la silva, akiwa anaonekana vry beautiful.

 
Bobbi Kristina alifariki Jumamosi baada ya kukutwa hajijui akiwa ameanguka bafuni kwenye bathtub mwezi Januari.

 
Hali hiyo ya kutojijua alikaa nayo kwa miezi sita, Mungu ailaze roho marehemu mahali pema peponi..Amen.

Hanscana “Ma-Director wengi wa bongo wanapenda umwinyi”


Director mdogo ambae anafanya vizuri kwa sasa katika game hii ya bongo kwa kufanya video kali na kupelekewa kukubaliwa na wasanii kibao na kutaka kufanya nae video amefunguka na kusema kwamba waongozaji wengi wa muziki hapa bongo wanapenda umwinyi.

Hanscana aliyasema hayo mara baada ya kueleza chance kubwa aliyo ipata wakati wa Director mkubwa kutoka Ghana “Justin Campos” kutimba bongo na kuwaelekeza jinsi yeye anavyofanya kazi na jinsi anavyo jituma licha ya kuwa ni mkubwa kwa maana ya kwamba anafanya vitu ambavyo kwa bongo wengi wamezoea kutumikisha wasaidizi wao na bila kuwapa ujuzi wowote.

Nuh mziwanda – Wema ameitengeneza hiyo Audio, Sio sauti yangu


Nuh mziwanda  amesema kuwa  sauti inayosikika kwenye audio iliyovuja akisikika akimtongoza wema sio yake, amedai hiyo audio imetengenezwa.

Akiongea na mtandao wa Bongo5 Nuh amemshutumu Wema na timu yake kwa kuamua kumchafua yeye na mpenzi wake shilole ambaye tayari wamepatana.

“Hili suala nalichukulia kawaida na naona ni ushamba na upu*vu ha hawana akili hata kidogo. Kama ni kweli angemfuata shishi akamwamba kwamba ‘mpenzi wako kafanya kitu Fulani Fulani kwangu’ sio kutangaza. Na kama kweli, kwanini asingesema wengine wanaomtongoza na akaweka mitandaoni? Ni wema na watu wake wote ndio wamefanya hivi! Siku ya kwanza shishi alilipokea vibaya  lakini baada ya kumuelewesha kanielewa.” Nuh alisema

Shilole amefunguka kuwa hana ugomvi na mtu na wala hajali kama wametengeneza au vipi kwasababu Nuhalishamuomba msamaha na wamesameheana.

Diamond platnumz abeba Tuzo zingine mbili za nje


Mkali wa Nana, Diamond platnumz ameshinda Tuzo zingine mbili za nje, Diamond ameshinda kwenye vipengele viwili kwenye Tuzo za Nollywood and African people choice awards ambavyo ni “Favourite song of the Year” ambayo ni Nana na “Favourite artist of the Year”.

Kansiime Anne Ashinda Tuzo Ya NAFCA “Favorite Comedian”

Anne Kansiime

Nollywood & African People’s Choice Award wamemtangaza washindi wa tuzo hizo huku mchekeshaji kutoka nchini Kenya Anne Kansiime akiwa mmoja wa washindi.

The Nollywood & African People’s Choice Awards ndio show kubwa pekee ya tuzo barani Afrika ambapo mashabiki ndio wanaoamua washiriki na washindi katika vipengele mbalimbali katika filamu, ,muziki na Televisheni
The Queen of African Comedy Kansiime Anne ameshinda tuzo ya Favourite Comedian Award, tuzo hiyo atakabidhiwa tarehe 12 Septemba 2015 pale iconic The Orpheum Theatre, 842 Broadway, Los Angeles, CA 90014 U.S.A Los Angeles USA na itaonyeshwa duniani kote.

Washindi Wengine ni:
The Black Pot alichukua tuzo ya “Favorite Online TV Show” wakati star wa “Silence Le Pure” Marie Solo alichukua Favorite Screenwriter, nakufanya kuwa ushindi wake kwa mara ya tatu wa NAFCA. Palava ya Monicazation amechukua “Favorite Music Video” na vipengele vingine ni pamoja na Director (Kelechi Eke) na Favorite Promising ilienda kwa Mkenya na muigizaji anayechipukia ni Clarice Otieno ambae aliongoza kwa kutokea kwenye vipengele vingi zaidi, film The Other Tribe produced and directed by Kelechi Chijindu Eke.

Diamond Na Zari Wakiwa Gym Pamoja


Ni tofauti sana wakati mwingine kwa wanawake wanapokuwa na mimba ni kipindi ambacho wanakuwa wavivu sana, hasa kunyanyuanyayua vitu, lakini Zari ameongeza idadi ya mastaa ambao kipindi wakiwa na mimba mbishe zimeendelea kama kawaida.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Zari alipost picha ikimuonyesha akiwa na Diamond Platinumz wakifanya mazoezi pamoja gym na aliandika
The struggle is real…..😜. Gotta keep that butt in place with the squats. Phew!!!— Zari Hassan

Mama mtoto huyo wa Diamond anaonekana amezidi kupendeza akionyesha tumbo lake ambalo limezidi kuwa kubwa akiwa amevaa vest nyeusi na raba nyeusi za adidas na sweat pants.

New Video: Meek Mill – All Eyes On You Ft. Nicki Minaj & Chris Brown (OfficialVideo)

OfficialVideo)

Tetesi kuhusu Will smith kuachana na Mke wake Jada Pinkett, wenyewe wamesema haya

SADOCK

AUGUST 4, 2015

Will Smith amekanusha tetesi zinazoenea kuwa anaachana na mke wake Jada Pinkett  mama wa watoto wake wawili Jaden and willow Smith,  Will Smith ametumia mtandao wa Facebook kupinga vikali tetesi za kufunjika kwa ndoa yake iliyodumu kwa muda wa miaka 17 hadi sasa,

na kwakuongezea Mke wake alitweet

                      Hapa will smith akiwa na Familia yake yote

COMMENTS

0 comments

RELATED ITEMSHOTJADA PINKETTWILL SMITH

MORE IN ENTERTAINMENT

NEW: BRIZZY FT. MBANDEKINYO & MSODOKI – UTAELEWA

NEW: PINK FT. YOUNG DEE – USIOGOPE (OFFICIAL VIDEO)

Nuh mziwanda – Wema ameitengeneza hiyo Audio, Sio sauti yangu

TETESI: MTOTO WA DAVID BECKAM KUFUATA NYAYO ZA BABA YAKE

LATEST

POPULAR

COMMENTS

NEW: BRIZZY FT. MBANDEKINYO & MSODOKI – UTAELEWA

NEW: PINK FT. YOUNG DEE – USIOGOPE (OFFICIAL VIDEO)

Nuh mziwanda – Wema ameitengeneza hiyo Audio, Sio sauti yangu

TETESI: MTOTO WA DAVID BECKAM KUFUATA NYAYO ZA BABA YAKE

Cindy Akanusha Kusuck Someone’s D…!!

Diamond Na Zari Wakiwa Gym Pamoja

 

Copyright © 2015, Developed by SetUP Ltd.     PROPERTY OF SETUP LTD COMPANY.

Sunday, 2 August 2015

B atuli Amshukia Kitale Kwa Kuvujisha Picha Hizi Mtandaoni, Zina Siri Gani ? Soma Hapa

Staa wa mrembo wa Bongo Movie, Batuli ameonyesha kuchukizwa kwake kwa kitendo cha staa mwenzake, Kitale kuvujisha picha hizi  akiwa faragha na mwigizaji chipukizi, Stanbakora ikiwa ni kati ya moja ya kipande cha kazi yao mpya, kwa madai kuwa anaipa ‘promo’.

Kupitia ukurasa wake mtandao Batuli ameeleza kuwa Kitale alimpa picha hizo Mateja ambaye ndiye aliezisambaza kwenye mtandao wa Instagram.

“Kwanza mniwie radhi Watanzania mnachokiona na kinachoelezewa ni vitu viwili tofauti mwenye akili timamu anapata jibu kamili. @mkudesimbaoriginal nikuulize hivi wakati unampa @matejamusa picha ulimwambia ni za nini!? hivi naweza kuwa faragha mbele ya camera!?

Hata kama unapromote movie hii sio kiivyo kama kupromote kitu ndio hivi basi fani yetu imejaa mazumbukuku, hii ni scene iliyopo kwenye movie sioni sababu ya kunichafua kijinga hivi, kizuri kinajiuza @mkudesimbaoriginal  kuandika shit sio njia sahihi ya kupromote kazi yako”- Batuli aliandika.

Je kwako mdau hii imekaaje kwa upande wako ?.

Saturday, 1 August 2015

Wema Sepetu Akubali Kushindwa Adai Siasa Bila Kujipanga Utoki... ‘Utakatwa’ tu!

Leo tunaye msanii wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni alithubutu kugombea ubunge kupitia viti maalum mkoani Singida.


Kwa bahati mbaya kura za msanii huyu hazikutosha. Mwandishi wetu alionana na mwanadada huyo nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar na kumpiga maswali 10 mujarabu. Ungana nami…

Ijumaa: Hongera kwa kujitosa kwenye siasa, nini kilikusukuma kuingia huko?

Wema: Nilikuwa nashauku ya kuwa mheshimiwa, hata baba yangu aliwahi kuniambia naweza hivyo nikajaribu bahati yangu.

 wema (8)Ijumaa: Ukiacha marehemu baba yako, nani alikupa sapoti kubwa na ukajiona unaweza?
Wema: Namshukuru mama yangu, alinipa sapoti kubwa nikajiona naweza kwani alinitoa hofu niliyokuwa nayo.

Ijumaa: Unadhani kipi kimekuangusha kwenye uchaguzi ule?

Wema: Uchanga wangu kwenye siasa lakini naamini muda ulikuwa bado.

Ijumaa: Ingawa hukufanikiwa kupata nafasi ya ubunge umejifunza nini kupitia siasa?

Wema: Kwa kweli nimejifunza vitu vingi maana haviendani hata na umri wangu na nimepata ujasiri mkubwa. Kikubwa ukiingia kwenye siasa ujipange sana.

Ijumaa: Je, kwa hatua uliyoifikia unategemea kuendelea na siasa?

Wema: Niache? Siwezi kwani itakuwa kazi yangu, kama gari ndiyo limewaka sasa.

Ijumaa: Najua siasa ni hela hasa kipindi cha kampeni, uliwezaje kumudu gharama zote?

Wema: Ni rahisi sana ukiwa na watu wanaokupenda, walijitokeza watu kunichangia kwa ajili ya kuhakikisha nafanikiwa. Siwezi kuwataja lakini nawashukuru sana.

Ijumaa: Tulipata habari kwamba baada ya kushindwa uliangua kilio, kwa nini?

Wema: Unajua unapoenda kufanya kitu lazima una matumaini japo kuna kushindwa lakini kushinda ndiyo lengo sasa usipofanikisha lazima roho inauma.

Ijumaa: Ulijisikiaje ulipokuta nyomi la watu wakikusubiri kwa ajili ya kukupokea wakati hukuwa umeshinda?

Wema: Niliamini nina watu wengi ambao wananipenda na nilijifunza mengi kupitia ujio wao, pia walinitia moyo wa kuendelea na siasa.
Ijumaa: Kuna madai kuwa baada ya kushindwa una mpango wa kuhamia Ukawa, hilo unalizungumziaje?

Wema: Ninachojua watu wa Ukawa wamenitafuta na ilikuwa tukutane jana (Jumatatu) ila tutakutana Jumatano (juzi), nikijua wanachoniitia ndiyo nitafanya uamuzi.

Ijumaa: Baada ya kuingia kwenye mambo ya siasa tumtegemee Wema wa aina gani?

Wema: Mtarajieni Wema wa tofauti na yule mliyemzoea, mambo ya skendoskendo hayatakuwa na nafasi kwenye maisha yangu.

-gpl

What's wrong with this photos when Tanzanian superstar's spotted in this Look? MUST SEE PHOTO'S!!

Many people believes when your fame you must live expensive and luxury life and that is the status for the superstars this mind set even blow up to Bongo celebrity who believe they must shows some luxury life to their fans in order to get respect as celebrity but what's What's wrong with this photos when Tanzanian superstar's spotted in this Look? MUST SEE PHOTO'S!!.

Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto? Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto...

Mimi nina mtoto wa miezi 10 sasa, niliachana na aliyenipa ujauzito nikiwa na mimba ya miezi 2 mwaka jana mwezi wa 2, na tangu mwaka jana nilikua sijakutana kimwili na mwanaume yoyote yaani nimekaa mwaka 1 na miez 5.

Miezi mitatu iliyopita nilikutana na kaka mmoja akawa anataka kunioa, but juzi nikashiriki nae tendo kibinadamu, na mimi na hisia kweli.Nilisex nae mara 1 tu na nilienda kuoga kabla sijamnyonyesha mtoto.

Naomba kuuliza inaweza kumdhuru mtoto?

Je, nifanyeje?

Msinielewe vibaya ndugu yangu baba mtoto yuko mbali na ana mwanamke mwingine .

Hana muda na mimi kabisa, mimi ni binadamu hisia zilinizidi tu nikawa nimefanya hivyo.

HUDDAH WA KENYA AWAANDIKIA UJUMBE MZITO WANAUME WOTE ALIOTEMBEA NAO>>>>DAH HAUWEZI AMINI ALICHOKIANDIKA>


Petite socialite, Huddah Monroe can be listed as one of the few female celebs who have managed to keep their love lives under the wraps.

Barely a few years after breaking-up with controversial Kenyan rappers Prezzo and Colonel Moustapha, the lass has now dissed them in her latest social media post.

According to Huddah, she pities them for having dumped a pretty lady like her.
“Sometimes I feel sad for the men I broke up with . I mean look at me ?”. The petite socialite posted on social media accompanied with the photo below.

<<<NEXT 1>>>

<<<NEXT 2<<<

<<<NEXT 3>>>

<<<NEXT 4>>>

<<<NEXT 5>>>

IMENUKA MBAYA BREAKING NEWS: BASATA IMEMFUNGIA SHILOLE MWAKA MMOJA, HAKUNA KUFANYA MUZIKI..USIPITWE NA HII JIRANI

Breaking news zilizoifikia millardayo.com saa nne usiku wa July 30 2015 kutoka Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) ni kwamba baraza hili limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.

Barua iliyoifikia millardayo.com ambayo imeandikwa kutoka BASATA imesema >>>‘Mnamo tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘

‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka pia October 2013 BASATA lilikuonya na ukakiri kwa kuomba msamaha tabia yako ya kucheza bila kuzingatia maadili uwapo jukwaani, BASATA ilikupa nafasi ya kutoa maelezo kwanini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa kitendo chako lakini umekaidi kutoa maelezo yako‘ – BASATA

‘Baraza limejiridhisha kwamba ulikiuka maadili ya kazi ya sanaa kwenye onyesho lako huko Ubelgiji makusudi na umekiuka sheria kwenye ibara ya 30 (2) ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kwa kuvunja maadili ya jamii ya Mtanzania hivyo baraza linakusimamisha kujishughulisha na kazi za sanaa nchini na nje ya nchi kwa mwaka mmoja, kufanya kinyume na hayo kutapelekea kupewa adhabu zaidi pamoja na yeyote utakaeshirikiana nae ‘ – BASATA

USIPITWE NA VICHWA VYA HABARI MOTOMOTO VYENYE UZITO KWENYE #MAGAZETI YA TANZANIA AGOSTI 1 2015 VIKO HAPA


Good morning mtu wangu..

Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Agosti 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko hapa

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.