Ni tofauti sana wakati mwingine kwa wanawake wanapokuwa na mimba ni kipindi ambacho wanakuwa wavivu sana, hasa kunyanyuanyayua vitu, lakini Zari ameongeza idadi ya mastaa ambao kipindi wakiwa na mimba mbishe zimeendelea kama kawaida.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Zari alipost picha ikimuonyesha akiwa na Diamond Platinumz wakifanya mazoezi pamoja gym na aliandika
The struggle is real…..😜. Gotta keep that butt in place with the squats. Phew!!!— Zari Hassan
Mama mtoto huyo wa Diamond anaonekana amezidi kupendeza akionyesha tumbo lake ambalo limezidi kuwa kubwa akiwa amevaa vest nyeusi na raba nyeusi za adidas na sweat pants.
0 comments:
Post a Comment