ADSENSE FLOAT CENTER

Tuesday, 4 August 2015

Kansiime Anne Ashinda Tuzo Ya NAFCA “Favorite Comedian”

Anne Kansiime

Nollywood & African People’s Choice Award wamemtangaza washindi wa tuzo hizo huku mchekeshaji kutoka nchini Kenya Anne Kansiime akiwa mmoja wa washindi.

The Nollywood & African People’s Choice Awards ndio show kubwa pekee ya tuzo barani Afrika ambapo mashabiki ndio wanaoamua washiriki na washindi katika vipengele mbalimbali katika filamu, ,muziki na Televisheni
The Queen of African Comedy Kansiime Anne ameshinda tuzo ya Favourite Comedian Award, tuzo hiyo atakabidhiwa tarehe 12 Septemba 2015 pale iconic The Orpheum Theatre, 842 Broadway, Los Angeles, CA 90014 U.S.A Los Angeles USA na itaonyeshwa duniani kote.

Washindi Wengine ni:
The Black Pot alichukua tuzo ya “Favorite Online TV Show” wakati star wa “Silence Le Pure” Marie Solo alichukua Favorite Screenwriter, nakufanya kuwa ushindi wake kwa mara ya tatu wa NAFCA. Palava ya Monicazation amechukua “Favorite Music Video” na vipengele vingine ni pamoja na Director (Kelechi Eke) na Favorite Promising ilienda kwa Mkenya na muigizaji anayechipukia ni Clarice Otieno ambae aliongoza kwa kutokea kwenye vipengele vingi zaidi, film The Other Tribe produced and directed by Kelechi Chijindu Eke.

0 comments:

Post a Comment